PrivChat

Mjadala kuhusiana na teknolojia, haki za binadamu,
na uhuru wa mtandao umeletwa kwako na Tor Project

PrivChat ni mfululizo wa matukio ya harambee yaliyofanywa kuchangia Tor Project. Kupitia PrivChat, tutakuletea taarifa muhimu kuhusiana na nini kinaendelea katika teknolojia, haki za binadamu, na uhuru wa mtandao kwa kukusanya wataalamu wabobezi kuwasilana kwa majibinazo na jamii yetu.


Kurasa wa #5- Ulinzi dhidhi ya wadukuzi

Angalia

Kila mwaka, serikali, vyombo vya kutekeleza sheria, majeshi na mashirika wanawekeza mabilioni ya dolla katika kutengeneza na kununua programu za udukuzi zilizoundwa kwa lengo la kupenyeza kimyakimya katika kifaa cha mtumiaji na kuwaruhusu washambuliaji kuona maudhio bila kujulikana.

Mwaka huu, Mradi wa Pegasus uligungua kuwa watumiaji wa aina hii ya programu inayochunguza taarifa za wengine, wanafahamika kama Pegasus na inaundwa na kundi la NSO, imelenga simu zinazomilikiwa na maelfu wa watu katika nchi zaidi ya 50, ikijumuisha wafanya bishara, wanasiasa, waandishi wa habari, na wanaharakati wa haki za binadamu.

Kwa tolea hili la PrivChat, jiungeLikhita naEtienne Maynier ya Amnesty International naJohn Scott-Railton ya Citizen Lab kujadili:

  • Je watu binafsi, wanahabari, wanaharakati, na watetezi wa haki za binadamu nini wanaweza kufanya ili kujilinda na programu zinazochukua taarifa za watu wengine mitandaoni?
  • Aina gani ya taasisi tunaweza isaidia ili kusaidia kuondoa ukiukwaji huu?
  • Nnai anafanya kazi katika usalama zaidi, programu binafsi tunazoweza kuziamini zaidi?

Roger Dingledine, Co-Founder of the Tor Project, will join us as our host and moderator.

Mtunzaji

Roger Dingledine

President & Co-Founder, the Tor Project

Roger Dingledine is president and co-founder of the Tor Project, a nonprofit that develops free and open source software to protect people from tracking, censorship, and surveillance online. He works with journalists and activists on many continents to help them understand and defend against the threats they face. Roger was chosen by the MIT Technology Review as one of its top 35 innovators under 35, he co-authored the Tor design paper that won the Usenix Security "Test of Time" award, and he has been recognized by Foreign Policy magazine as one of its top 100 global thinkers.

Washiriki

Likhita

Researcher/Adviser - Technology and Human Rights, Amnesty International

Likhita works as a Researcher and Adviser for Amnesty International's Technology and Human Rights Programme. At present, she is involved in researching targeted surveillance and internet shutdowns. She has researched online hate speech against women and minority populations in India. Previously, she also researched and exposed challenges faced by human rights defenders in India and worked extensively on hate crimes in the country. Likhita holds a master's degree in Human Rights and Humanitarian Action from Sciences Po.

Etienne Maynier

Amnesty International's Security Lab

Etienne Maynier (he/him) is an activist and researcher who investigates the impact of targeted surveillance on NGOs and human rights defenders. He is currently working as Technologist in the Amnesty International's Security Lab doing technical research.

John Scott-Railton

Senior Researcher, Citizen Lab

John Scott-Railton is a Senior Researcher at Citizen Lab (at The University of Toronto). His work focuses on technological threats in civil society, including targeted malware operations, cyber militias, and online disinformation. His greatest hits include a collaboration with colleague Bill Marczak that uncovered the first iPhone zero-day and remote jailbreak seen in the wild, as well as the use of Pegasus spyware to human rights defenders, journalists, and opposition figures in Mexico, the UAE, Canada, and Saudi Arabia. Other investigations with Citizen Lab colleagues include the first report of ISIS-led malware operations, and China's "Great Cannon," the Government of China's nation-scale DDoS attack. John has also investigated Russian and Iranian disinformation campaigns, and the manipulation of news aggregators such as Google News. John has been a fellow at Google Ideas and Jigsaw at Alphabet. He graduated with a University of Chicago and a Masters from the University of Michigan. He is completing a Ph.D. at UCLA. Previously he founded The Voices Projects, collaborative information feeds that bypassed internet shutdowns in Libya and Egypt. John's work has been covered by Time Magazine, BBC, CNN, The Washington Post, and the New York Times.

Mchango wako unafanya mfululizo huu na kazi zetu katika Tor kuwezekana.

Njia bora ya kuunga mkono kazi zetu ni kuwa mchangiaji wa kila mwezi.