Unaweza ukaperuzi bure. Tor ni kifaa imara zaidi kwa faragha na uhuru mtandaoni. Ni programu huru na ya wazi inayodumishwa na Tor Project na jumuiya wa wanaojitolea ulimwenguni.

Tunakuhitaji usaidie kuifanya Tor kuwa salama kwa watumiaji wake mamilioni duniani kote. Changia sasa!

Unataka kujiunga na jumuiya yetu? Kujihusisha na Tor ni rahisi.