toleo jipya: Tor Browser 10

Kivinjari cha Tor Browser 10 kipya kinapatikana sasa kwenye ukurasa wa kupakua Kivinjari cha Tor Browser na pia kwenye saraka zinazosambaza data!

Toleo la Android la Tor Browser 10 linaendelea kufanyiwa maendeleo na tunaisaidia toleo la sasa hadi lile jipya litakapokuwa tayari. Tunataarifiwa na Mozilla juu ya masuala yoyote wanayojifunza yanayoathiri toleo hili. Tunatarajia kutoa Tor Browser mpya kwa ajili ya Android kwa kutumia Fenix katika wiki zijazo.

TorBrowser 10 inakuja na Firefox 78.3.0esr, inaboresha NoScript hadi 11.0.44, na Tor hadi 0.4.4.5. hili toleo linajumuisha taarifa muhimu za kiusalama kwa firefox.

Hii toleo jipya la Tor Browser limezingatia utulivu wa Tor Browser kulingana na toleo jipya of Mozilla Firefox. Tor Browser 10.0 ni toleo la kwanza na uthabiti wa 10.0 ambao unategemea Firefox 78esr.

Tahadhari: Tor Browser 10.0 ni final Tor Browser series supporting CentOS 6. Kuanzia mfuatano wa 10.5, CentOS 6 haipati tena usaidizi.

toa maoni

Ikiwa una mapendekezo juu ya jinsi tunavyoweza kuboresha toleo hili, tafadhali tujulishe. Asante kwa timu zote katika Tor, na kwa wale wengi waliojitolea, ambao wamechangia kwa toleo hili.

Unaitaji msaada?

Angalia FAQ katika jamii yetu

Tembelea Msaada

Wasiliana

wasiliana na sisi moja kwa moja!

Jiunge nasi kwenye IRC