PrivChat

Mjadala kuhusiana na teknolojia, haki za binadamu,
na uhuru wa mtandao umeletwa kwako na Tor Project

PrivChat ni mfululizo wa matukio ya harambee yaliyofanywa kuchangia Tor Project. Kupitia PrivChat, tutakuletea taarifa muhimu kuhusiana na nini kinaendelea katika teknolojia, haki za binadamu, na uhuru wa mtandao kwa kukusanya wataalamu wabobezi kuwasilana kwa majibinazo na jamii yetu.


Kurasa wa #4- Kumbukizi ya miaka 25 ya Onion Routing

Angalia

Sherehekea miaka 25 ya onion routing na Tor!

Mei 31, 2021 mi maadhimisho ya miaka 25 ya uwasilishaji wa kwanza katika jamii wa onion routing huko Cambridge, UK katika chuo cha Isaac Newton Institute's Kongamano la kwanzo la kufika Taarifa.

Unakaribishwa kusherekea nyakati hizi muhimu pamoja nasi kuzungumzia uanzishwaji wa onion routing, na namna wazo hili limekuwaTor, na namna Tor Project mwishoni imekuwa. Sisi\u2019ll Tumeungana na Paul Syverson, mmoja wa watunzi wa first onion routing paper, pamoja na waanzilishi wenza wa Tor Project Roger Dingledine and Nick Mathewson.

Tuta akisi katika siku za mwanzo za mtandao wa onion routing network nchini Marekani. Naval Research Lab (NRL). (Hapo nyuma, mawasiliano ya onion router yaliendeshwa kupitia nodes tano badala ya mfumo wa sasa wa Tor unaotumia muundo wa nodes tatu!) Siyo siri kuwa wazo la onion routing lilitokana na NRL (Ipo katika our history page), lakini kuna vitu vya zaidi vingine tunataka kutoa taarifa kuhusiana na namna Tor ilianza na wapi tumetoka katika miaka 25 iliyopita.

Gabriella Coleman-mwanaanthroporojia, mwandishi na ni bodi ya wakurugenzi ya Tor- atajiunga nasi kama muwezeshaji na msimamizi wetu. Jiunge nasi kwa toleo la sherehe la PrivChat kuadhimisha kumbukizi ya miaka 25 ya onion routing.

Mtunzaji

Gabriella Coleman

Professor @ McGill, mshriki wa bodi ya Tor

Gabriella (Biella) Coleman anashikiria kiti cha Wolfe katika ufahamu wa teknolojia ya sayansikatika chuo kikuu cha McGill. Amepata mafunzo ya antropolojia, ufadhili wakeinahusisha siasa, utamaduni, na maadili ya udukuzi. Ni mtunzi wa kitabu cha computer hackers pia ni muandishi na muhariri waHack_Curio, kituo cha video cha tamaduni za udukuzi(unaweza jifunza zaidi kuhusiana na mradi hapa). Kwa sasa anafanya kazi katika vitabu vya insha kuhusiana na wadukuzi na serikali na itatoa taarifa kutoka katika kitabu cha mwaka 2020 Mafunzo ya Henry Morgan.

Kitabu chake cha kjwanza Uhuru wa Kusimba: Miiko na uzuri wa Kudukua kilichapishwa mwaka 2013 na chuo cha Princeton University Press. Kisha aka chapisha Mdukuzi, Mlaghai, Mtoa taarifa, Mpelelezi: Sura nyingi za kutojulikana (Verso, 2014), ambayo iliitwa Kirkus alipitisha kitabu bora cha mwaka 2014 na alitunukiwa Zawadi ya Diana Forsythe na by Umoja wa Anthropolojial wa Marekani .

Kujitoa kwa ajili ya entnographia ya umma, huwasilisha mara kwa mara kazi zake kwenye watazamaji mbalimbali, hufundisha kozi ya shahada ya kwanza, na ameandikia vyombo vya habari maarufu, ikiwemo New York Times, Slate, Wired, MIT Technology Review,Huffington Post na Atlantic. Ni bodi ya wakurugunzi ya Tor Project.

CV, taarifa za mawasiliano, ikiwemo funguo ya PGP, na picha za hali ya juu zinapatikana hapa.

Washiriki

Roger Dingledine

Raisi & mwanzilishi mwenza, Tor Project

Roger Dingledine ni raisi na mwanzilishi mwenza wa the Tor Project, haiingizi faida na ilianzisha programu ya bure na ya wazi inayowalinda watu kuchukuliwa taarifa zao,kuzibitiwa na kufuatiliwa wakiwa mtandaoni. Anafanya kazi na waandishi wa habari na wanaharakati toka mabara mbalimbali kuwasaidia kuelewa na kujikinga vitisho wanavyokutana navyo. Roger alichaguliwa na MIT ya kuchunguza teknojia kama wagunduzi wakubwa 35 chini ya 35, aliandika utafiti ambao ulishindatuzo ya Usenix Security "Test of Time", na ametambulika na jarida la Foreign Policy kama mmoja wa top 100 global thinkers.

Nick Mathewson

Msanifu mkuu wa mtandao & muanzilishi mwenza, wa Tor Project

Ni mmoja kati ya wabunifu na watengenezaji wa Tor na ni mbobezi katika kutengeneza teknolojia za kutojulikana. Alianza kujitolea katika programu yaTor mwaka 2002, akawa mtengenezaji mkuu mwaka 2007, na akawa msanifu anayeongeza wa programu za kompyuta mwaka 2012. Nick alitumika kuandika utaratibu maalumu na miongozo ya Tor, ambayo imewezesha watafiti kuzingatia kazi zao katika misingi na imewezesha utekelezaji wa shughuli zingine nyingi zinazojitegemea wa taratibu za Tor.

Paul Syverson

Wanamahesabu, Maabara ya Utafiti U.S. Naval

Wagunduzi wa onion routing, muanzilishi wa Tor, mtunzi wa kitabu kimoja na zaidi ya taarifa za tafiti mia moja, mwenyekiti wa makongamano mengi ya usalama na faragha, aspiring unicycle commuter -- wanamiliki shahada zaidi ya moja katika filosofia na hisabati. Paul ni muanzilishi wa makongamano ya teknolojia za kuongeza faragha na mikutano ya ACM Workshop katika faragha ya jamii ya vifaa vbinavyotumia umeme. Pia ni muanzilishi wa EFF na mshirika wa ACM. Katika miongo yake mitatu kama mwanahisababti katika U.S. Naval Research Laboratory pia amekuwa mwanafunzi mtembeleajikatika vyuo vya U.S. na Europe.

Mchango wako unafanya mfululizo huu na kazi zetu katika Tor kuwezekana.

Njia bora ya kuunga mkono kazi zetu ni kuwa mchangiaji wa kila mwezi.