pata usaidizi

unahitaji usaidizi? tembelea tovuti yetu kupitia Support Portal kwa maswali yanayoulizwa zaidi kuhusu kuunganisha na Tor, Kukwepa udhibiti wa kutumia onion services, na kadhalika.

Chati nasi kwenye OFTC IRC

#tor - Uliza maswali kuhusu utumiaji wa Tor.

#tor-dev - Jadili kuhusu kanuni na taratibu za Tor. Mawazo yanakaribishwa.

#tor-l10n - Wasiliana na watafsiri wengine

#tor-meeting - Angalia au jiunge na mikutano yetu ya wazi.

#tor-project - Jadili kuhusu mada zinazohuziana na taasisi na jamii: kukutana na kuwasiliana.

#tor-relays - Jadili kuhusu kutumia Tor relay.

#tor-south - Ongea na jamii ya Tor's kusini mwa dunia.

#tor-www - Ongea nasi kuhusiana na maboresho katika tovuti yetu.

#tor-ux - Jadili kuhusu mawazo yanayohusina na UX.

Jiunge na jumuiya

Tutafute kwenye mitandao ya kijamii

Jitolee na Tor

Vikosi vyetu hushirikiana katika njia za wazi, iikijumuisha orodha za barua pepe, unakaribishwa kujiunga. IKama unaswali kwa kikosi fulani na halijajibiwa katika kituo cha msaada, unaweza kuomba orodha sahihi. Unakaribishwa kujisajili na kuangalia, pia:)

Toa taarifa ya tatizo au mrejesho.

Tor inategemea msaada wa watumiaji na wajitoleaji ulimwenguni kote kutusaidia kuboresha programu yetu na rasilimali, kwa hivyo maoni yako ni muhimu sana kwetu (na kwa watumiaji wote wa Tor).

Tuambie kuhusiana na relay mbaya.

Ukikutana na relayambayo unahisi si salama, iliyokosewa kusanidiwa, au imezuiliwa, tafadhali angalia kurasa za wiki na blogi ili kujua namna ya kutoa taarifa.

Toa taarifa ya tatizo la kliusalama.

Kama ukikuta tatizo lolote la usalama katika mradi wetu wowote au katika miundombinu yetu, tafadhali tuma barua pepe security@torproject.org. Kama unataka kusima barua pepe yako, unaweza kupataalama za kipekee za wazi za OpenPGP kwa anwani hii kutoka keys.openpgp.org. Hii ni fingerprint:

835B 4E04 F6F7 4211 04C4 751A 3EF9 EF99 6604 DE41

Kama unataka kushiriki katika Programu ya tuzo ya pesa kwa mtu atayetoa taarifa ya tatizo, Tafadhali kuwa makini, kuwasilisha tatizo la kiusalama kwa watu wasiohusika mojakwamoja katika tovuti unakuwa na hatari fulani ambazo hatuwezi kudhibiti, na ndio maana tunapenda kutoa taarifa mojakwamoja kwetu.

Tutumie email

Kwa maswali na michango kuhusu taasisi isiyoingiza faida ya Tor: maswali ya logo ya biashara, uhusiano na uratibu, maswala ya kimkataba na kadhalika, tafadhali tutumie barua pepe kwa frontdesk@torproject.org. Kwa maswali yanayohusina na donor, wasiliana na giving@torproject.org.

Tutumie parua pepe

The Tor Project
PO Box 5
Winchester, NH 03470
USA